Kwa baadhi ya watu, Akili Mnemba ni teknolojia ya kutisha ambayo inaweza kuwafanya wengi duniani kupoteza ajira siku zijazo. Lakini dhana hii ina ukweli wowote? Na je, Akili Mnemba inaweza kuisaidia ...
‎Aliyekuwa Mbunge wa Tanzania na bingwa wa masuala ya wanawake na teknolojia, Fatma Toufiq, anatarajiwa kushiriki katika ...
Akili mnemba inazidi kuwa suluhisho la kupunguza umasikini wa kujifunza. Lunga Lunga, Nyansapo AI inaboresha usomaji kwa ...
Tangu kuzinduliwa kwake mwishoni mwa Novemba 2022, teknolojia ya akili bandia ya ChatGPT, inayotumia akili ya bandia (AI) kujibu maswali au kuunda ujumbe unapohitajika kutoka kwa watumiaji, imekuwa ...
KATIBUMkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inaendelea kuimarisha sekta ya elimu nchini kupitia matumizi ya ...
Uingereza itaandaa mkutano wa kwanza wa kilele wa siku mbili utakaoanza kesho ili kuwaleta pamoja viongozi wa kisiasa, watafiti na wawakilishi wa sekta ya teknolojia ili kujadili maendeleo ya ...
TANZANIA inaendelea kupanua wigo wa ushirikiano wa kimataifa katika sayansi na teknolojia, baada ya ujumbe wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwenda Korea Kusini kwa lengo la kufungua fursa mpy ...
Ni kauli ya rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, akiwanyooshea kidole watu wanaoshikilia Imani potofu kuhusu ukuaji wa teknolojia barani Afrika, akisema wakati umefika kwa bara hilo kukumbatia mabadiliko ...
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Jenga Hub chini ya Miss Tanzania 2006, Nancy Sumari, ...
Bara la Afrika linasalia kua bara linalokua katika matumizi ya teknolojia katika michezo. Hata hivyo hivi karibuni michuano mingi ya shirikisho la soka barani Afrika CAF kama vile AFCON imeonekana ...